Tume ya uchaguzi nchini Tanzania imetangaza matokeo kutoka takribani mikoa 80 kati ya mikoa 100 nchini, kituo cha utangazaji cha serikali TBC kinaonyesha. Haya yanajiri licha ya maandamano kushuhudiwa ...
Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema kimeyakataa matokeo yaliyompa ushindi Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi uliosababisha maandamano na vurugu katika maeneo mengi ya taifa hilo la Afrika ...